Yaani ninaumia vibaya mnoo ninapoona Utopolo wanapata matokeo,yaani mimi Utopolo wakicheza hata mchezo wa kirafiki tu hata wakiwa wanafanya mazoezi tu ya wenyewe kwa wenyewe natamani asiwepo anayeshinda aiseeee! Siwapendi kwasababu ya majisifu yao wakipata kiukweli wannikera mnooooo!
Wangekuwa kama sisi Simba tunavyofanya ingekuwa poa sana tunawakera kwasiku mbili tatu kisha maisha yanaendelea lakini wao mamamamaaaaaaaa jambo la mwaka juzi watatembea