FT : Yanga SC 5 Fountain Gate FC 0 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Wananchi wana takata katika uwanja wa KMC Complex baada ya kushinda magoli 5 kwa 0 dhidi ya Fountain Gate FC

⚽ ⚽Pacome
⚽ Mudathir
⚽ Shiga "OG"
⚽ Mzize


Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
 

@tiva

Mpiga Chabo
Dec 29, 2024
2
0
0
Naona yanga mpaka wamalize ligi itatoa mtu damu,,mpaka sasa hakuna timu yenye mapafu ya mbwa kumkimbiza German mashine
 

Juakali

Mpiga Chabo
Dec 29, 2024
1
0
0
Atujui gusa achiaa itaishia wapii au ili nalo ni dukaa kam yalee😂😂sem spirit ya upmbanaji kw wachezaj imekuw kubwa san🫡🫡