Al-hamdulillah .Wananchi wana takata katika uwanja wa KMC Complex baada ya kushinda magoli 5 kwa 0 dhidi ya Fountain Gate FC
Pacome
Mudathir
Shiga "OG"
Mzize
Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Si hata nyingi na matawi kwo hayo hayo matawi ndio yatakayo kufa kwa presha saizi pressure iko juu juu make unajua muda wowote unatupishamsijepe matumaini kwa kuyafunga matawi yenu. Mtakuja kufa kwa presha.