FT : Yanga SC 6 Vital'O FC 0 : Una Lipi La Kusema Mwananchi Wa KIJIWENI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Klabu ya Yanga imetinga hatua ya pili ya Michuano ya klabu Bingwa Afrika Baada ya Kutoa Vital'O ya Burundi Kwa jumla ya mabao 10 Kwa sifuri

⚽Pacome
⚽Mzize
⚽Chama
⚽Dube
⚽Aziz Ki
⚽Mudathir Yahya
 
khayrat

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
1
0
0
Klabu ya Yanga imetinga hatua ya pili ya Michuano ya klabu Bingwa Afrika Baada ya Kutoa Vital'O ya Burundi Kwa jumla ya mabao 10 Kwa sifuri

⚽Pacome
⚽Mzize
⚽Chama
⚽Dube
⚽Aziz Ki
⚽Mudathir Yahya
Leo nlkuwa naskiliza redio mchambuzi mmoja akasema yanga leo itafunga sitaa na imetimiaa
Naipenda yanga 💚💚💚💚
 
Afrocode

Mpiga Chabo
Aug 24, 2024
2
0
0
Klabu ya Yanga imetinga hatua ya pili ya Michuano ya klabu Bingwa Afrika Baada ya Kutoa Vital'O ya Burundi Kwa jumla ya mabao 10 Kwa sifuri

⚽Pacome
⚽Mzize
⚽Chama
⚽Dube
⚽Aziz Ki
⚽Mudathir Yahya
Kwa mpira wa leo nimejikuta nachanganyikiwa ni mchezaji gani anatakiwa kupewa man of the match⛹️