FULL TIME : DODOMA JIJI 0 vs SIMBA SC 1

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Mchezo Umemalizika katika Uwanja Wa Jamhuri jijini Dodoma huku Simba wakiondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa 0 alilofunga Fredy Michael Koublan

Umeuonaje Mchezo? Unadhani Simba wanapaswa kufanya maboresho Gani Kwa Msimu Ujao?
 
May 17, 2024
6
1
5

Mechi ilikuwa tafu sana ila ubora wa fredy Kouablan ndio umeimaliza hii mechi kongole kwake
 
May 17, 2024
3
1
5
Mchezo Umemalizika katika Uwanja Wa Jamhuri jijini Dodoma huku Simba wakiondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa 0 alilofunga Fredy Michael Koublan

Umeuonaje Mchezo? Unadhani Simba wanapaswa kufanya maboresho Gani Kwa Msimu U There are a lot of changes needed, especially the number six lions, the finishers also the number 5 guard, then the lion sc will stay at a good level.
 
Iambenny

Mpiga Chabo
May 17, 2024
1
0
0
Simba wanaitaji mtu kama akaminko na mtu kama bacca hapo ndo pakuanzia. sema fredy n mtu na nusu angekua yanga ad sasa magori zaid ya 20
 
May 17, 2024
3
1
5
Let's be together for sports and entertainment news, today and the purpose is to develop talents and go further, in short, I really doubt that you are here, kijiwen
 
Miss

Mpiga Chabo
May 17, 2024
1
0
0
Mchezo Umemalizika katika Uwanja Wa Jamhuri jijini Dodoma huku Simba wakiondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa 0 alilofunga Fredy Michael Koublan

Umeuonaje Mchezo? Unadhani Simba wanapaswa kufanya maboresho Gani Kwa Msimu Ujao?
Ulikua Bomba kabisa