FULL TIME: FC AUGSBURG 2 YANGA SC 1 Mmeuonaje Mchezo Huu Wananchi Wa Kijiweni?

Kadzo_lass

Mgeni
Jul 1, 2024
8
3
5
Makolo wanaoponda mechi ya yanga ya leo niwakumbushe tu hii ni pre season lakini ndio tumecheza hivi tarehe nane pale kwa mkapa tutaelewana vizuri
 

almudhila

Mpiga Chabo
Jul 20, 2024
2
0
0
Mchezo Wa kimataifa wa Kirafiki wa kujiandaa na na Msimu wa Mwaka 2024/2025 kati ya Augsburg Kutoka nchini Ujerumani inayoshiriki Ligi Kuu Ya Bundesliga pamoja na Yanga Kutoka TANZANIA inayoshiriki Ligi Kuu Ya NBC Umemalizika Kwa WANANCHI kukubali kichapo Cha bao 2 Kwa 1

Umeuonaje Mchezo Huu?
Wamejitahid xanaaa wamepambana vilivyo wapew hongeraaaa
 

Max

Mgeni
May 16, 2024
10
2
5
Mchezo ulikua mzuri sana Yanga wameonyesha wanakitu kikubwa sana, kiukweli hongera kwa wachezaji wote wa yanga na usimamizi wake