FULL TIME : Fountain Gate FC 1 Simba SC 1 | Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?

robartmakau

Mpiga Chabo
Feb 6, 2025
1
0
0
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC kutokea Manyara dhidi ya Simba umemalizika salama katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare ya bao 1 kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Makolo kabebwa sana kushindwa kufurukuta.
 
Jay19

Mpiga Chabo
Feb 4, 2025
4
0
0
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC kutokea Manyara dhidi ya Simba umemalizika salama katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare ya bao 1 kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Kumbe kijiweni Wanasimba mpo wengi Mbn malalamiko kila kona
 
kacks

Mgeni
Dec 30, 2024
6
1
5
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Fountain Gate FC kutokea Manyara dhidi ya Simba umemalizika salama katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa sare ya bao 1 kwa 1

Umeuonaje Mchezo Wa Leo Mwana Kijiweni?
Mzuri sana but pole sana kwa kijana mdogo ladack
 
Johannes

Mpiga Chabo
Feb 4, 2025
2
0
0
Uyo ndo chasambi alibeti GG na imemlipa mlio mpa Simba ashinde goli nyingi pole yenu Leo mhindi kachekelea