FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

Aug 9, 2024
3
1
5
kwanu mimi naona ligi yetu itakuwa nzuri cha msingi marefa waache kubalance mchezo kabisa penye kadi toa kadi penye penalti toa penalti. maana naona mtandaoni mjadala mkubwa ni penalti na offside zile mbili lakin kiukubwa ligi yetu itakuwa tamu san
 

dang zilla

Mpiga Chabo
Aug 9, 2024
1
0
0
FULL TIME NGAO YA JAMII 2024: Yanga SC 1 Simba SC 0 Tathmini Yako Ikoje?

Mchezo wa Nusu Fainali Ya NGAO Ya JAMII 2024 Umemalizika Kwa klabu ya Yanga kuondoka na Ushindi wa bao 1 Kwa sifuri na Kutinga Hatua ya Fainali Ambapo anaenda kukutana na Azam FC

Umeuonaje Mchezo huu? Mchezaji Gani Kakukosha?
mchezo ulikuwa mzuri na ulikuwa na ushindani mzuri ila kwa tasmini zangu simba iko vizuri sema baadhi ya makosa madogo madogo na ukilinganisha na uzoefu wa derby aswaa hii ya k.koo kwa hiyo siwezi kuilaumu simba make me nishabiki lakini timu bado inajitengeneza na tunategemea changamoto nyingi za aina hii kwani ligi ndio inaanza na bado kuna safari ndefu ya kupambana hivyo yakipatikana maelewano ya wachezaji na mfumo wa kocha ukawa umekaa vizuri mtaona mengi mazuri kutoka kwa mnyama
#nguvumoja
#simbasctanzania
#kariakooderby
 

Kadzo_lass

Mgeni
Jul 1, 2024
8
3
5
Mechi ya derby ngao ya jamii was amazing sanaaaa ila tu Refa aliharibu mchezo mzima Simba wamecgezewa mechi mwanzo mwisho jana simba alikiwa anakufa 4-1 ila all in all YANGA BINGWA 2024/2025 ni swala la mda tu Gamond atamuonyesha fadlu jambo kwani huwezi kuwa kocha ukose ushindi alafu useme sisi na wao sijaona utofauti eti sababu wachezaji wapya na hawajatrain mda mrefu yani kauli hii kama kocha mwanamichezo sio kauli nzuri alafu naomba kuuliza kwani Yanga hatuna usajili mpya? Chama, Aziz Andambwile, baleke, dube, boka na Duke abuya hawa nao vipi wamekaa mda mda mrefu 😂😂😂😂 next derby Fadlu ajiandae kisaikolojia maana Gamond hqpendi mambo ya aibu tukutane next derby October Fadlu hatakula Christmas bongo ni swala la muda tu