FULL TIME: Tanzania 0 DR Congo 2 | Tanzania Wafanye Nini Mechi Zilizobaki Ili Wafuzu AFCON 2025 Morocco?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo umemalizika Kwa DR Congo kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 0 na kufuzu AFCON Kwa mwaka 2025

Katika Kundi la Tanzania Tayari amefuzu DR Congo imebaki Timu Moja ambapo ni kati ya Tanzania, Ethiopia au Guinea

Tanzania Wafanye Nini Mechi Zilizobaki Ili Wafuzu AFCON 2025 Morocco?
 

gihsygiven

Mgeni
Sep 18, 2024
10
1
5
kuna cha kufanya kwan? watuachie wachezaj wetu wa simba wasiumizwe wawachague wa yanga 2anaojifany mabek bola kumbe ushuz tu😕,
 
May 22, 2024
12
7
5
Hawa wajinga wanashindwa kubalance consistency wanatumia nguvu nyiiiiingi kipind cha kwanza alaf cha pili wanakuwa kama vile wametoka gest, mamae kabisa🤕
 

Dockham

Mpiga Chabo
Oct 15, 2024
3
0
0
Mchezo wa kufuzu AFCON 2025 kati ya Tanzania dhidi ya DR Congo umemalizika Kwa DR Congo kuondoka na Ushindi wa bao 2 Kwa 0 na kufuzu AFCON Kwa mwaka 2025

Katika Kundi la Tanzania Tayari amefuzu DR Congo imebaki Timu Moja ambapo ni kati ya Tanzania, Ethiopia au Guinea

Tanzania Wafanye Nini Mechi Zilizobaki Ili Wafuzu AFCON 2025 Morocco?
Nafikiri benchi la ufundi lishughulikie mapungufu yaliyopo hasa kwenye safu ya ushambuliaji.Mzize mpaka sasa performance yake hairidhishi hata katika mechi hii ya marudiano.kadhalika samatta hajaonesha kiwango ambacho watanzania wengi walitegemea.Mimi nadhani Stars wafanye yafuatayo katika mechi zilizosalia ili iweze kufuzu
1.Fitness coach aongeze dozi kwa wachezaji ili wawe na matumizi ya nishati kwa kiwango kikubwa wanapokuwa uwanjani.
2.Kocha hemed moroko ajitahidi kumsoma mpinzani dakika za awali za mchezo kwa umakini zaidi.
3.wachezaji wawe sawa kisaikolojia,na watambue kuwa wanachokifanya uwanjani ni kwa taifa,lakini pia kuonesha uwezo kwa mchezaji mmoja mmoja(kujitangaza)
 

gihsygiven

Mgeni
Sep 18, 2024
10
1
5
an kiongoz naon iwe hvi kam wakipat ushnd raisi anatoa pongezi na iwe hvyo hvyo watakapo kosa ushndi wakatwe haiwezekan. mtu unaach shuvhul zak unaend kuangalia boli , hzo gharama na za kuigharamka team nazo watu wajengew madaraj na wawek vzr masual ya NHIF 😕
 
Jun 2, 2024
19
10
5
Mimi naona cha kufanya timu ya taifa wawe wanacheza wanajeshi hawa wakina popah sijui kibu na wenzie wakina Fei ata hawana moyo wa kuipambania bendera ni ujinga tu kwanza kuanzia kocha wee unaitaje mzee uiache damu chanaga where is kelvin John...ask urself ni upuuuzi mtupu...hi timu yetu ya Taifa ata ikicheza na Simba Queens na yanga princess Combine Taifa stars inafungwa
 

MAGNUS

Mpiga Chabo
Oct 15, 2024
2
0
0
First a half ball imechezwa vzr ila kasumba inayo endelea kutuumiza mara zote ni ya wachezaji kucheza cheza bila kuweka malengo,

Mf.Congo kipindi cha1 wameweka malengo ya kulinda goli lao kwa dkk zote, kipindi cha pili wamekuja kivingine huku wakiwa wamewasoma wapinzani