Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Game ya Simba na Singida ilikuwa nzuri yenye mvuto na ushindani kilichotokea ni mbinu na ubora wa wachezaji kuamua game

Kila team ulicheza kwa awamu awamu Singida kacheza Sana first half japo alifungwa na Simba kacheza Sana second half

Ubora wa chama na Tibanzokinza utawatesa Sana viungo wakabaji wa team pinzani na goli la Simba la kwanza lile limefungwa kwa uwezo wa Mfungaji


Baleke Goli gumu Sana mazingira Magumu kwa mchezaji wa kawaida hawezi kuamua kuwa pale anafunga na akafunga Singida walipoteana zaidi kwa Bao la Sakho goli Bora na zuri kuliko japo Sakho kwake kawaida Sana kufunga Aina ile pale ndiyo Singida wakapoteana zaidi.

51E65787-C082-47EF-9EF6-57E92C4AD90D.jpeg
 

kamakawa

Mgeni
Nov 4, 2022
60
57
5
Sawa lakini kwenye safu ya ulinzi kuna makosa ambayo yanatakiwa yafanyiwe kazi na pia ktk finishing na maamuz ya mchezaji mmoja mmoja bado kuna tatizo,
 

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Mimi ninawapongeza wachezaji wetu na benchi la ufundi wameonyesha ukubwa wao. Hongera saana kocha wetu katengeneza mfumo unaoendena na chama
 

Rashidi

Mgeni
Dec 13, 2022
56
40
5
Jambo pekee la kumsaidia Manula asiingie matatizoni na Mashabiki ni wachezaji wenzake kuanzia Midfielder wa chini hadi Center Backs na Full Backs wote wajitahidi wasifanye Makosa karibu na 18