Mgodi wa Uchimbaji Dhahabu wa Geita (GGM) umetoa kiasi cha shilingi milioni 500/= kuidhamini timu ya mpira wa miguu ya @geitagoldfc inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC ili kuiwezesha timu hiyo kufanya vizuri katika michuano hiyo.
Jamaa wako vizuri, nimeona pia inaendelea na ujenzi wa uwanja wao wenye uwezo wa kubeba mashabiki 12,000. Kampuni ya Geita Gold imetoa Tsh 2.4bn za ujenzi kama awamu ya kwanza