Gharama za Kutumia Uwanja Wa KMC COMPLEX

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Huu ni Uwanja wa Manispaa ya Kinondoni unaofahamika kwa jina la KMC Complex unaopatikana Mwenge katika Jiji la Dar Es Salaam. Ili uweze kuutumia uwanja huu gharama zake ni kama ifuatavyo:KMC Complex.jpg



Kuchezea Mechi Ni Milioni Sita (6,000,000)

Kufanyia Mazoezi Ni Laki Tatu (300,000)

Kufanyia Shughuli Nyingine Ni Laki Mbili (200,000)
 
Last edited:

Galath

Mgeni
Sep 9, 2024
10
1
5
Mbeya
Naona kuna kitu hakipo Sawa ujue kutumia shughuli zingine tofauti na mechi ni rahisi kuharibu uwanja hivo gharama zitafidiwa wapi japo Kwa mechi ni sahihi
 

Madenyeka

Mpiga Chabo
Sep 10, 2024
1
0
0
Naona kuna kitu hakipo Sawa ujue kutumia shughuli zingine tofauti na mechi ni rahisi kuharibu uwanja hivo gharama zitafidiwa wapi japo Kwa mechi ni sahihi
Shughuli zingine sh. Laki 2 na shughuli hizo zinahusisha upigaji wa picha za mnato na nyongefu. Kwhy si kila shughuli nyingine gharama ni hiyo laki 2 ndugu.

Kwa mfano kuweka tamasha ni tsh. 20,00,000/= ukiwa na pitch cover.

Kwhy si kila shughuli nyingine gharama ni tsh. Laki 2.