Grant Wahl, mwandishi wa habari wa kandanda wa Marekani amefariki dunia

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Grant Wahl, mwandishi wa habari wa kandanda wa Marekani alishawahi kufukuzwa kwenye uwanja wa Kombe la Dunia nchini Qatar kwa kuvaa shati la upinde wa mvua, alianguka ghafla alipokuwa akiripoti mchezo wa Robo Fainali Uholanzi dhidi ya Argentina jana usiku na kufariki.78B93B72-1566-4889-93FB-B61CE9D57478.jpeg