Grant Wahl, mwandishi wa habari wa kandanda wa Marekani alishawahi kufukuzwa kwenye uwanja wa Kombe la Dunia nchini Qatar kwa kuvaa shati la upinde wa mvua, alianguka ghafla alipokuwa akiripoti mchezo wa Robo Fainali Uholanzi dhidi ya Argentina jana usiku na kufariki.
