Halftime Tanzania 0 DR Congo 0 | Nini Kifanyike Kipindi Cha Pili?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
513
676
125
Mchezo ni mapumziko hivi sasa kufuzu AFCON

Tanzania 0 DR Congo 0

Nini Kifanyike Kipindi Cha Pili Tanzania Wapate Goli?
 

Black market

Mpiga Chabo
Oct 8, 2024
6
0
0
Coach ampuzishe either mzize au kibu aingie seleman mwalimu asimame pale tisa awanyime uhuru kina inonga ...Alf lusajo nae anahitaji usaidiz wa kimawazo anapoteza sana mipira.