Kuelekea mchezo wa jumapili wa kombe la Shirikisho kati ya Yanga na wenyeji wao Us Monastir utakaopigwa kwenye mji wa Tunis, klabu ya wananchi wanategemea kupata matokeo chanya sare au ushindi.
Wakati huo hali ya hewa ya Tunisia kwa sasa ni nyuzi joto 9, maana yake ni baridi kali ndomaana Wananchi wametia kambi mapema ili kuzoea hali ya hewa hiyo.
Kumbukumbu nzuri kwa Yanga ndani ya Tunisia ni kuwaondoa Club African na kufanikiwa kufuzu hatua hii ya makundi
Licha ya ubora wa Yanga hivi sasa, hali ya hewa ya nchini humo haiwezi kuwa kikwazo kwao?
Kila la kheri Mwananchi katika mchezo wenu wa jumapili.