Chelsea wamerejea katika mazungumzo ya moja kwa moja na Benfica kwa ajili ya Enzo Fernandez. Wanamtaka mchezaji huyo kwa gharama yoyote - Chelsea watakuwa tayari kulipa ada ya €120m.
Rais wa Benfica Rui Costa bado hana nia ya kukubali - lakini Chelsea itasisitiza kukamilisha dili hilo sasa.
Mazungumzo yanaendelea kati ya Chelsea na Benfica kwa ajili ya Enzo Fernandez. Mazungumzo yanafanyika hivi sasa kwani Chelsea watapambana hadi mwisho.
Pendekezo la Chelsea: €120m kwa awamu tofauti, Hakuna masuala kwa upande wa mchezaji na masharti ya kibinafsi.
Tunaomba dirisha lifungwe sasa hii imezidi jamani khaa