Hawa Yanga tusipokuwa makini watatutesa sana, huoni wapi watafungwa huoni lini watapoteza Yanga wanazidi kuwa tishio kwenye hii ligi na sasa hawachezi kushinda au point sana wanacheza kulinda unbeaten yao, timu imekosa wachezaji muhimu zaidi ya wa 4 lakini huoni pengo lao huoni uhitaji wao, tunawacheka Yanga kupoteza kimataifa ila ndo mechi zinawafanya wanakua hivi wapo sasa misimu miwili ijayo Yanga wakizidi kuimarika kimataifa sio wenzetu tena.
Sifa zao wapewe wamekua tishio sana uwezo kitimu uwezo wa mchezaji mmoja mmoja kila mmoja unamwona anacheza kwa nidhamu na akili kubwa kuipambania nembo ya Yanga hii timu ina kila kitu sasa tusishangae ikatuongoza tena na tena kwenye hii ligi yetu, Simba na Azam wakishindwa kuwafunga nani nwakuwafunga mnategemea?? hii unbeaten inaweza kwenda hata mechi 70+. HESHIMA KWA YANGA KOCHA NA BENCHI ZIMA LA UFUNDI
HUYU MAYELE

Last edited: