Hii Kauli Ya AHMED ALLY Mmeipokeaje Wana SIMBA? Mnakubaliana Nae?

Robbrygo JR

Mgeni
May 20, 2024
18
10
5
Semaji yuko sahih, endapo hiki kikosi kitapata maelewano mazuri hakika the future is bright. 🦁🦁 Atakuja kufanya balaa kubwa mno
 
May 17, 2024
6
1
5
sahihi asemayo simba inahitaji mda kutengeneza chemistry ya timu kwa wajua mpira wataelewa ila wa wanoangalia mpira kwa hisia hawataelewa. SIMBA NGUVU MOJA
Ni kweli kabisa timu mpya inahitaji muda kikubwa mashabiki tuwe na imani na si kuanza kuitaji timu icheze kwa ubora mkuuuubwa kana kwamba timu ilikuwa pamoja kwa mda mrefu
 
May 17, 2024
6
1
5
Simba bado sana acha kwanza msimu huu upita msimu ujao ndo watakuwa na timu nzur na yaushindani
Mpaka sasa ni timu ya ushindani tayari aliyeshinda 5 Zanzibar kaja kufungwa 4 hii iliyofungwa 4 ndio ilikuwa inawekewa matumaini makubwa kuwa ndio mpinzani wa karibu wa yanga kwa sasa ila hii iliyokatiwa tamaa imefungwa goli moja tu na wameonyesha mpila mzuri
 

Egon Babhesa

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
2
0
0
Hayo ni maneno tu, wakati mwalimu anaenda kutengeneza basi Kuna mwalimu tayar ashafundisha na kutengeneza timu, saiZ ni mwendo wa dozi tuuu huyo kijana aache maneno pitch inasema ukwel peke ake
 

Egon Babhesa

Mpiga Chabo
Aug 12, 2024
2
0
0
Hayo ni maneno tu, wakati mwalimu anaenda kutengeneza basi Kuna mwalimu tayar ashafundisha na kutengeneza timu, saiZ ni mwendo wa dozi tuuu huyo kijana aache maneno pitch inasema ukwel peke ake
 

Patient Bwoy

Mgeni
Aug 12, 2024
2
1
5
Jamaa anamoyo sana huyu🤣🤣kiukwel hamna semaji kama huyu bongo hii,, vuta picha yanga kadorola unadhan Akina Ali kamwe wataongea nn? 😂Nampongeza sana Ahmed kwa kaz yake