Hii Kauli Ya Mo DEWJI Anamaanisha Nini?

De Sòuzα

Mgeni
Jun 22, 2024
12
2
5
Mo yuko Sahi Kwa kuwa Simba saiv inataka kujitengeneza upya haina haja ya kuwa na mchazaj ámbae hataki kuitumikia tim bora kuachana nae wachezaj n weng wenye uwezo wa kucheza simba
 
Mirlo punch

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
2
0
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Hana baya tajiri yuko sahihi sana. Kama mtu hayuko tayari kuitumikia club basi aachwe aende zake maana CLUB ni kubwa kuliko mchezaji.
 
iam_ayoubjr

Mpiga Chabo
Jun 17, 2024
2
0
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Diarra
Yao
Bacca
Job
Boka
Aucho
Max
Pacome
Dube
Aziz
Chama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Nacheka kama mazur😂💔
 
ABDULQADIR

Mgeni
Jun 23, 2024
9
3
5
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Haha 🤣
 
Facegear

Boss chupli chupli
 
kibabage

Mpiga Chabo
Jun 23, 2024
1
0
0
Goryanah Nasubiria Kwa hamu, halafu mfumo wa kutoa comments ni mgumu sana kwenye Story ya Goryanah, embu mjaribu kuweka mfumo wa kutoa comments vizuri Admin.
 
Mzungu og

Mgeni
Jun 24, 2024
4
1
5
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Kwa Sasa mashabiki wa Simba sc hatujui tuwe upande Gani kikubwa tunataka un beaten msimu ujao.🙌
 
  • Like
Reactions: Shabo Jr

Geof master

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Eeh Simba yetu jamani
 
Shabo Jr

Kwel mo yup sahih mbona walikuwep kina gaucho mafund wa soka ila saiv imebak historia. na wanakuj kina mbape ko kwa chama kugom................ mwachen atakuj mwingine mbadala wak
 
Mwambeta

Mgeni
Jun 24, 2024
7
1
5
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Sahihi tu, kwani yeye nani
 
Isikauke sana

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
1
0
0
HAKUNA HAJA YA KUMBEMBELEZA MTU MWACHENI AENDE KWINGINE ”MO DEWJ”

”Kwa sasa tunataka kujenga kikosi kipya hakuna haja ya kumbembeleza mtu, kama kakataa mwacheni akapige pesa na kwingine kwani maisha ya mchezaji ni kambi popote.”

- Mohammed Dewji Mwenyekiti wa Klabu ya Simba.
Timu ni kubwa kuliko mchezaji..