Hii ni furaha gani Manchester United wanayo kwa Dialo🤔

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
•Manchester United wanafuraha sana na Amad Diallo na maendeleo yake kwa mkopo katika klabu ya Sunderland.

•Hakuna chaguo la kununua, pia Man Utd wamekataa ofa mbali mbali kutoka Italia kwa ajili ya uhamisho wa kudumu miezi iliyopitaC5514C2F-9A4B-4CE8-8F28-49C3AF84D3F5.jpeg