•Manchester United wanafuraha sana na Amad Diallo na maendeleo yake kwa mkopo katika klabu ya Sunderland.
•Hakuna chaguo la kununua, pia Man Utd wamekataa ofa mbali mbali kutoka Italia kwa ajili ya uhamisho wa kudumu miezi iliyopita
View attachment 1013