Hili La Mkude Na Yanga Lina Elimu Ndani Yake

Gamondi

Mgeni
May 27, 2024
18
14
5
MKUDE KATUFUNZA

Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake.

Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini ukurasa rasmi wa Klabu ukampost yupo sana tena akiwa na kocha Miguel Gamondi pembeni yake.

TUSICHOKE mtu tusipende kuwazeesha watu, hapa tayari tulishaanza kumtengenezea njia mpya mchezaji kwamba hafai tena kusalia ndani ya Yanga na ikapelekea kumtafutia timu ilimradi tu aondoke kilazima kwa mitazamo yetu.

Tazama sasa huyu hapa ni Njano na Kijani ndani ya Yanga ni Nungunungu tena ataendelea kusalia ndani ya Yanga SC ili kuziba pengo kama ikitokea kuna shimo linavuja. Tutafika tu kwenye kuzisaka habari za uhakika tena za kina.

Kama hatuna uhakika tusitembeze habari mitandaoni kama hizo
 
Thabity

Mpiga Chabo
Jul 4, 2024
2
0

chiwembi

Mgeni
Jul 9, 2024
10
1
5
Mkude hatakuwepo msimu ujao kurejea mazoezini haimaanishi ataendelea kuwepo, yanga ni KIKOKOTOO wacha wale pension WASTAAFU wa simba
 
Kyoma

Mgeni
May 10, 2024
13
6
5
Ni hao wachambuzi na waandishi ambao wamekosa taarifa na kuanza kutunga taarifa zao ilimradi tu wapate kujulikana na kuonesha kuwa wapo,,, bila kujua kuwa wanatufanya tuwaone akili hawana na tunazidi kuwadharau kwasababu hawafanyi kazi yao wanayotakiwa kufanya,,,nadhani wajifunze kupitia hili! Siyo kwa mkude tu hata kwa Aziz ki ilikuwa hivyohvyo
 
  • Like
Reactions: Kadzo_lass

Al wattan

Mpiga Chabo
Jul 13, 2024
1
0
0
Mwandishi tu anaitwa gamondi asa una expect nini hapo..?? I thought kua ni kitu lbda cha kujifunza kumbe unaongelea tetesi na mapenz yako.
 
Mycojkhan

Mpiga Chabo
Jun 25, 2024
11
0
0
24
Mwanza
MKUDE KATUFUNZA

Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake.

Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini ukurasa rasmi wa Klabu ukampost yupo sana tena akiwa na kocha Miguel Gamondi pembeni yake.

TUSICHOKE mtu tusipende kuwazeesha watu, hapa tayari tulishaanza kumtengenezea njia mpya mchezaji kwamba hafai tena kusalia ndani ya Yanga na ikapelekea kumtafutia timu ilimradi tu aondoke kilazima kwa mitazamo yetu.

Tazama sasa huyu hapa ni Njano na Kijani ndani ya Yanga ni Nungunungu tena ataendelea kusalia ndani ya Yanga SC ili kuziba pengo kama ikitokea kuna shimo linavuja. Tutafika tu kwenye kuzisaka habari za uhakika tena za kina.

Kama hatuna uhakika tusitembeze habari mitandaoni kama hizo
Amezoea Mbao ndefu😄
 
Arafaty

😭😭😭. Sio lazima. Angalia. Taalifa. Usik Tok kwa klabu. Sio makeke. Ya. Kijiwen wanafamilia Miliki.
 
Mwinyi cholobi

Mpiga Chabo
Jul 13, 2024
5
0
0
MKUDE KATUFUNZA

Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake.

Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini ukurasa rasmi wa Klabu ukampost yupo sana tena akiwa na kocha Miguel Gamondi pembeni yake.

TUSICHOKE mtu tusipende kuwazeesha watu, hapa tayari tulishaanza kumtengenezea njia mpya mchezaji kwamba hafai tena kusalia ndani ya Yanga na ikapelekea kumtafutia timu ilimradi tu aondoke kilazima kwa mitazamo yetu.

Tazama sasa huyu hapa ni Njano na Kijani ndani ya Yanga ni Nungunungu tena ataendelea kusalia ndani ya Yanga SC ili kuziba pengo kama ikitokea kuna shimo linavuja. Tutafika tu kwenye kuzisaka habari za uhakika tena za kina.

Kama hatuna uhakika tusitembeze habari mitandaoni kama hizo
Hao yanga Ndio wanazeeshaga wachezaji wakiwa Simba wazee kwao makinda
 
ezekiel kibona

Mpiga Chabo
Jul 14, 2024
1
0
0
MKUDE KATUFUNZA

Hili la kiungo Jonas Gerald Mkude kurejea mazoezi kujiandaa kwa msimu mpya wa mshindano ndani ya Yanga SC limekuwa na Elimu ndani yake.

Kabla zilizagaa taarifa kuwa Jonas Mkude ameondoka Yanga na kutimkia ndani ya Singida Fountain Gate tena na kama lilipitishwa hivyo lakini ukurasa rasmi wa Klabu ukampost yupo sana tena akiwa na kocha Miguel Gamondi pembeni yake.

TUSICHOKE mtu tusipende kuwazeesha watu, hapa tayari tulishaanza kumtengenezea njia mpya mchezaji kwamba hafai tena kusalia ndani ya Yanga na ikapelekea kumtafutia timu ilimradi tu aondoke kilazima kwa mitazamo yetu.

Tazama sasa huyu hapa ni Njano na Kijani ndani ya Yanga ni Nungunungu tena ataendelea kusalia ndani ya Yanga SC ili kuziba pengo kama ikitokea kuna shimo linavuja. Tutafika tu kwenye kuzisaka habari za uhakika tena za kina.

Kama hatuna uhakika tusitembeze habari mitandaoni kama hizo
Hakika ila tetesi nayo ni sehemu ya habari