Nafikiri wengi mmekutana na boom za kutisha hasa watumiaji wa betpawa, salio linasema millions sasa nitawapa njia rahisi uone wanavyo edit hiyo mikeka hii ndio application wanayotumia kuedit mikeka, angalizo hii application inafanya kazi kwenye website kwaio kuedit kwenye app ni ngumu na haiwezekani.Hii application inabadilisha kiwango cha hela, pia maneno and everything unachotaka kibadilike inaitwa ELEMENT INSPECTOR.
View attachment 1634 View attachment 1635
Hii application ni kama chrome tu, sasa ukiifungua unaserch website unayotaka kuingia then una click kushoto kama nilivyoonesha kwenye picha number 2 Ukisha click inakujia kama picha number 3. Then click editable content..
View attachment 1636 View attachment 1637
Sasa ukisha click unachagua number unayotaka kuedit unaweka mambo yako sawa kama unavyoona kwenye pichaa
View attachment 1639 View attachment 1640
Angalizo hii application inafanya kazi kwenye website tu na apps,
cha msingi chukua odds before match mtu asikuuzie odds kwakutumia slips za namna hiyo mfano kama hii slip uwezi gundua kama wameedit .
KUWA MJANJA Odds haziuzwi