Hivi Ni Kweli Yanga Kiingilio Cha Elfu 5 Pia Kimewashinda?

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.

Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa

Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK.

Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah

Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue

Hao ndio uto
 
  • Like
Reactions: Gervan

Ben breezy

Mpiga Chabo
Aug 1, 2024
2
0
0
Sema ni kweli tunazingua sana viongozi wanapambana sana kutengeneza timu nzuri ili ilete mafanikio pia tuenjoy na sisi mashabiki lakini sisi haohao tunarudisha timu nyuma me ninachoomba tujitokeze kwa wingi uwanjani tusisubiri tickets za bure
 
chiwembi

Mgeni
Jul 9, 2024
10
1
5
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Utopolo bhana wanajikanyaga tu, wao wanaweza kwenye habari ya supu tu, ukiwatia supu wanajazana kibaooo alafajiri mapema pale mitaa ya twiga, yaani nyuma mwiko, mungu anawaonaaaa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†20240801_174104.jpg
 
Kambanyuma jr

Mpiga Chabo
Aug 1, 2024
4
0
0
Amna jaman siku ya mwananchi badoo haijafika msubili muone mashabiki wakiwa wachache ndo muanze kuongea ivyo
Lakin n tumain langu siku ya mwananchi lazma uwanja ujayee
 
njovu master

Mgeni
Jul 24, 2024
10
1
5
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ubaya ubwelanga vyuraa kazi yao kununuliwa ticket kama supe wanapewa buree kwa nn wasiingie bure eti ticket zao laki sita nyooo wee kuweza mziki wa ubaya ubwelanga hawauwezi kuufikia milele ubayaaaaa ubwelaaaaaaaaa
 
jeffy

Mpiga Chabo
Jul 14, 2024
2
0
0
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.

Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na Hamisa

Hii ni timu ya watengeneza drama lakin sio mpira wa kiukweli. Ndio maana msemaji wao aliwachana kama hawa mabwana wenye akili kichwani ni wawili tu baba yake na JK.

Ticket za buku 5 zimewashinda labda wanachoweza ni matusi tu lakin kununua ticket aah

Shabiki wa yanga anaweza kuongea matusi asubuhi mpaka jion ila jezi asinunue wala ticket asinunue

Hao ndio uto
Hili ndo tatizo la nchini kwetu yani watu wanashabikia kwa mdomo bila kuonesha support kwa vitendo ilikuwatia moyo viongozi wetu wazidi kuboresha timu, sometimes viongozi na wazamani wakiona muamko wa mashabiki pia wanapata moyo wa kuendelea kupambania timu jaman tubadilike
 
Aishaa alasmailly

Mpiga Chabo
Aug 1, 2024
1
0
0
Ila mseleleko fc mmepewa fursa huko mchangie damu mpewe ticket bure🀣🀣🀣lakin wapiπŸ™Œkushangilia tu ushilikiano na timu aaahπŸ™ŒπŸ€£ubaya ubwelaaaaaβ€πŸ€β€πŸ€πŸƒβ€β™€οΈ