Kiukweli mpaka sasa bado haieleweki kipi cha maana kimefanyika katika uwanja wa Mkapa. Ukisikiliza maelezo ya wahusika yanasikitisha sana, Vitu kama kuboresha vyoo sijui vyumba vya kubadilishia nguo n.k ni vitu vya ndani sio vitu ambavyo watazamaji waliopo uwanjani na waliopo kwenye Tv majumbani wanahitaji.
Jambo la msingi kama football pitch, bado haina mvuto! Hata ile running track bado imetifuliwa tifuliwa tu yaani kazi inaenda pole pole mno! Wakati huo fedha tayari imeshatolewa! Inashangaza! Tunazidiwa hata na wenzetu hapo Rwanda uwanja wa Amahoro ambao una ubora mkubwa mno!