Hivi Wachagga wanacheza soka? Nimewahi kuwasikia akina Mwakalebela, Minziro, Masatu lakini siyo Massawe au Mushi!

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
 
  • Like
Reactions: MR. VIP and r72

mnyamaa

Mpiga Chabo
Jul 4, 2024
1
0
0
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Mbona kulikuwa na mtu anaitwa masawe kiuongo wa nguvu marehemu alicheza simba
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Christopher Alex Massawe ( former Simba SC player), Jacob Massawe Namungo FC, Deogratius Munishi, Leodigar Tenga,,,hahaaaha Wachagga wapo kote kote arifu,,,🤣🤣🤣
 
MR. VIP

Mgeni
May 17, 2024
25
3
5
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Mbona wapo na majina lioyataja wote wanacheza LIGI KUU
 
Suleiman

Mgeni
Jul 9, 2024
7
3
5
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Jacob masawe namungo zamani STD United
 
Mwinyi cholobi

Mpiga Chabo
Jul 13, 2024
5
0
0
Naelewa kabisa michezo iko mingi kama darts, karats, nao, kukimbiza kuku nk ola kwenye kandanda Wachagga hawaonekani sijajua kwanini.

Nimewahi kuwaona akina David Mwakalebela, akina Minziro akina.Masatu na hata.Kibaden Mputa lakini sijamuona Massawe Mushi wala Kavishe

Hata kule Upareni hakunaga wasakata kabumbu

Why?
Masawe juzi juzi tu alikuwa anacheza