Hizi Hapa Jezi Za KIMATAIFA za SIMBA Kwa Ajili Ya Michuano Ya KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Hizi hapa jezi zote za klabu ya Simba ambazo wamezizindua leo kwa ajili ya michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika

Jezi Gani Umeikubali Zaidi?

Gcz0u3aXAAAazX3.jpg
Gcz0u3dXUAEXEty.jpg
Gcz0u3ZXAAA-Ezb.jpg
 

Code zero

Mgeni
Sep 5, 2024
3
1
5
Kiukweli apa Sunderland katuangusha sana bora huo wa third kit lkn hz zilizobakia tumepigwa na ilo bango la mo halijakaa sawa ata kdg bora kimataifa waangalie mdhamini mwingine ukweli akuna ubunifu kama simba haina wasomi bana
 
  • Like
Reactions: Kijiweni