Hizi Hapa Timu 16 Zitazokiwasha Kagame Cup 2024

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
281
396
25
Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati imerejea na itaamza kutimua vumbi Julai 6 hadi 22 mwaka huu visiwani Zanzibar.

Timu zitakazoshiriki ni :-

1. Yanga SC - Tanzania Bara,

2. Simba SC - Tanzania Bara,

3. Azam FC - Tanzania Bara,

4. Coastal Union - Tanzania Bara

5. JKU SC - Zanzibar

6. Vital'O - Burundi,

7. APR FC - Rwanda,

8. Al Merreikh - Sudan,

9. Al Hilal - Sudan,

10. Hai El Wadi - Sudan,

11. Gor Mahia - Kenya,

12. SC Villa - Uganda,

13. Bentiu - Sudan Kusini,


Aidha, timu tatu kutoka nje ya nchi wanachama wa CECAFA zilizoalikwa na kuthibitisha kushiriki michuano hiyo ni TP Mazembe (DR Congo), Nyasa Big Bullets (Malawi) na Red Arrows ya Zambia.
 
  • Like
Reactions: Young jux

Rasheed

Mgeni
Jun 11, 2024
2
1
5
Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati imerejea na itaamza kutimua vumbi Julai 6 hadi 22 mwaka huu visiwani Zanzibar.

Timu zitakazoshiriki ni :-

1. Yanga SC - Tanzania Bara,

2. Simba SC - Tanzania Bara,

3. Azam FC - Tanzania Bara,

4. Coastal Union - Tanzania Bara

5. JKU SC - Zanzibar

6. Vital'O - Burundi,

7. APR FC - Rwanda,

8. Al Merreikh - Sudan,

9. Al Hilal - Sudan,

10. Hai El Wadi - Sudan,

11. Gor Mahia - Kenya,

12. SC Villa - Uganda,

13. Bentiu - Sudan Kusini,


Aidha, timu tatu kutoka nje ya nchi wanachama wa CECAFA zilizoalikwa na kuthibitisha kushiriki michuano hiyo ni TP Mazembe (DR Congo), Nyasa Big Bullets (Malawi) na Red Arrows ya Zambia.
Vital o tusha chukka🤣🤣
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

albert

Mgeni
Jun 11, 2024
1
1
5
Hilo la simbaa..
Tukichukua mnaanza ooh simba wanabeba makombe ya ovyo mara kwanza hawapo mabingwa HILO NI LETU TUPEWE MAPEMAAA..SIMBA NGUVU MOJAA
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Lukman Ali

Mgeni
May 17, 2024
5
3
5
Hakuna Tanzania Bara ni Tanganyika hii Tanzania Bara inatoka wapi?
Tanzania inatokana na Muungano wa Zanzibar na Tanganyika sasa hii Tanzania Bara asili yake inatoka wapi?
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

kingprayer

Mgeni
Jun 11, 2024
1
1
5
Simba ijayo naamin ni kali sana wanaoamin simba ni mbovu watashangaa maajabu ya ubingwa wa CECAFA unavyotua viunga vya msimbazi
simba bingwa
 
  • Like
Reactions: Kijiweni