LUIS MIQUISSONE AIKUBALI OFA YA YANGA
#TETESI Nimearifiwa kwamba Nyota wa zamani wa Simba Luis Miqusson amekubali ofa ambayo amepewa na uongozi wa Yanga na yuko tayari kusaini mkataba wa miaka mitatu na miamba hao wa soka la Tanzania.
Simba walipeleka ofa lakini walikuwa hawataki kulipa fedha zote walikuwa wanataka kulipa kidogo kidogo ila Eng Heris amemwambia yeye atalipa fedha zote ambazo Miqusson anataka
Mpaka sasa wanasubiriwa tu Al ahly wafanye maamuzi ila tayari kila kitu kipo tayari kwa Miqusson kutua Jagwani.