Huko sunderland anakiwasha NOMA

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Dogo kama atakaza, na kuwa physic na consistency naona kabsa ni WINGA YA KULIA View attachment 999
Kocha Kasema anamuangalia lakn kukud kwake lazma awe anafit kweny first eleven moja kwamoja 😀😀😀, Kwahyo dogo Mikopo itakuhusu mpaka akomae kama kina Gallagher wa chelsea yaan ukiludshwa kweny Timu bas moja kwamoja unakuja kuchallenge kilosi cha kwanza 😀☹ī¸