Huyu Hapa Mrithi Wa Kajula Na Barbara Simba Uwayezu Francois Regis

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
UONGOZI wa Simba umefikia makubaliano ya kumwajiri Uwayezu Francois Regis raia wa Rwanda kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, ili achukue nafasi ya Imani Kajula anayejiandaa kumaliza mkataba mwezi ujao.

Kajula ambaye ni mzoefu katika uongozi wa mpira, akiwamo kwenye Kamati ya maandalizi ya Michuano ya Afrika ya vijana chini ya umri wa miaka 17 yaliyofanyika nchini mwaka 2019 alijiunga na Simba kuzipa pengo la Barbara Gonzalez aliyejiondoa Januari mwaka jana baada ya awali kutangaza dhamira Desemba, 2022.

Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya Simba kimesema kuwa mazungumzo na Francois yamefika hatua nzuri kilichobaki ni kufikia muafaka wa kumalizana naye ili aweze kuipngoza Simba.

Francois, kwa sasa ni Makamu Mwenyekiti wa APR ya Rwanda na amewahi pia kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Soka cha Rwanda (FERWAFA).

Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Simba kuwa na CEO kutoka nje ya nchi, kwani awali iliwahi kumuajiri, Senzo Mbatha kutoka Afrika Kusini ambaye baadaye alijiondoa na kutua Yanga kabla ya kurithiwa na Mzambia, Andre Mtine aliyetokea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo.

Je ujio wa EO huyo mpya utaleta tija kwa klabu ya Simba yenye malengo makubwa kwa soka la ndani na la Kimataifa, huku kukiwa na hitajio la kuongeza vyanzo vingi vya mapato.
 
  • Like
Reactions: Nashy and msomba

msomba

Mpiga Chabo
Jun 24, 2024
2
0

Ni vema zaid kupata ceo wa inch jiran
 
Nashy

Mgeni
Jul 15, 2024
12
3

ataweza maanaa
 
Kim Official

Mpiga Chabo
Jul 15, 2024
1

New Team New CEO Ahsanteh Sana Tajiri Mohammed...Leo Kuna Baadhi Ya Watoa Taarifa Mitandaoni Wanatuma Taarifa Kwamba Team Ya simba Imecheza Mechi Ya Kirafiki Nakufungwa 6 Je hiii Taarifa Ina Ukweli Ndani Yake!? Na Kama Haina Ukweli Ni Hatua Gan Mnapanga Kuchukua Juu Ya Vyombo Hivyo Vya Habari Maana Huko Ni Kushusha Hadhi Ya Timu Kiujumla!!..