Huyu Ndie Kocha Fadlu Davids Anayetajwa Kuwa Kocha Mkuu SIMBA SC

Hammy36

Guest
Jan 17, 2023
63
61
25
Dar Es Salaam
Kocha Fadlu Davids ambaye amekuwa na sifa nzuri katika coaching yake kwa timu alizowahi kuzifundisha akiwa Head Coach, Assistant Manager.

Tuangalie sifa zake za ufundishaji 1: POSSESSION BASED – Huyu anapenda sana kucheza one touch football ambapo wachezaji huchukua nafasi na kuunda faida ya namba uwanjani kwenye nyakati mbili muhimu attacking and defending, na pattern huonekana kwa pembetatu au almasi kwa lugha nyepesi anapenda kucheza pira biriani (position play).

2: A GOOD LEADER (COACH) – Huyu ni Kocha ambaye ambaye anajua kucoach wachezaji vizuri na pia ni kiongozi bora sana kwa wachezaji wake ndani na nje ya uwanja ,unaweza kuwa Kocha mzuri kiufundi lakini usiwe kiongozi bora ila Fadlu Davids anakupa faida ya vitu hivyo viwili kwa pamoja.

Fadlu Davids (43) anaweza kuorganize timu kwa ustadi mzuri sana, na competent sana why? Amefanya kazi zake katika vilabu vya Maritzburg United, B. Fontein Celtic, Chippa United, Loko Moscow, Orlando Pirates, Raja Casablanca amezicoach hivi vilabu kuna timu zingine.

akiwa (Head Coach, Assistant Manager) Kitu ambacho huwa anapenda sana kwa Kocha Fadlu Davids ni kuwa na wachezaji ambao wapo possession based ili kushindania mipambano yake kwa ustadi wa hali ya juu, na formation yake pendwa ni 4-2-3-1.

4-2-3-1 pia havutiwi na wachezaji ambao wapo vertical style maana yake katika falsafa zake hawatokuwa wafanisi KWA MAANA HIYO SIONI SABABU KWANINI ASHINDWE KUFUNDISHA TIMU: KUIMARISHA AU KUBORESHA TIMU, NI KOCHA MWENYE CHARISMA BORA SANA.
 
  • Like
Reactions: MR. VIP and Jaico47
Jun 30, 2024
2
1
5
Yaan huko kwenye ligi mbali sana, yaan anaenda kuuponza kwenye ngao na hapo ndo utakua mwisho wake kwenye ardhi tukufu ya Tanzania
NB::
Niko nimekaa pale 👉
Nakunywa soda bard, muda ukifika tutaongea lugha Moja tu😂
 
  • Like
Reactions: ABDULQADIR

Chumo

Mgeni
Jun 22, 2024
6
1
5
Yaan huko kwenye ligi mbali sana, yaan anaenda kuuponza kwenye ngao na hapo ndo utakua mwisho wake kwenye ardhi tukufu ya Tanzania
NB::
Niko nimekaa pale 👉
Nakunywa soda bard, muda ukifika tutaongea lugha Moja tu😂
Hii nchi mashabiki ni wengi kuliko wapenda football🤣🤣
Ubora wa kocha au mchezaji haupimwi na mchezo 1.