Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
468
624
125
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
 
Nov 7, 2024
2
1
5
Moja ya Jambo ambalo huwa linanikela ni Hawa Marefa wetu kuwa na Makosa ya kujirudia Aseee! Huwa nakeleka saana
 
Attachments

  • 17323723009048145129259788711014.jpg
    17323723009048145129259788711014.jpg
    650.5 KB · Somwa: 1
  • Like
Reactions: Kijiweni

jackson1234

Mgeni
Sep 15, 2024
7
2
5
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Simba kutofunga yanga inanikera sanaaa aseee
 
yanhkizzy.tz

Mgeni
Jun 30, 2024
15
4
5
Wachambuzi wengi wanakosea sana kutafsiri kinachotokea kwa mechi,mfano game ya Simba Jana wanasema goli la pamba lilikuwa sahihi na wakati aliyefunga alitakiwa apewe kadi kwa kutokuheshimu kipyenga.
 
Sep 26, 2024
8
2
5
Msemaji wa timu husika kushindwa kuzungumzia timu yake na badala yake kuzungumzia timu pinzani kwakweli hili jambo huwa linanikera sana.
 
Sep 26, 2024
8
2
5
The spokesperson of the respective team fails to talk about his team and instead talks about the opposing team, this thing really annoys me.
 
jackson1234

Mgeni
Sep 15, 2024
7
2
5
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Kayoko kuchez
 
John Rodrigo

Mpiga Chabo
Nov 23, 2024
1
0
0
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Mimi ambacho huwa kinanipa Kela niupande wamalefa wawe wanachezesha mpira kwahaki ivi hadi sasa timu ya yanga ili bidi iwe nafasi ya 4 marefa angechezesha kwahaki marefa wanawabeba sana Hawa nyuma mwiko
 
jackson1234

Mgeni
Sep 15, 2024
7
2
5
Kayoko kuchezesha mechi za simba
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Kayoko kuchezesha mechi za simba
 
Imma

Mpiga Chabo
Oct 25, 2024
7
0
0
Mimi kinacho nikera ni Timu ndogo zinavyo wakamia Simba na Yanga yani ile nguvu wanayo tumia kukabiriana na Team za Kariakoo wangekuwa wanazitumia na kwenye game zingine wangeshafika mbali sana..✍🏾
 
jackson1234

Mgeni
Sep 15, 2024
7
2
5
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Refa kayoko kuchezesha mechi za simba inafamika wazi kayoko ni utoo
 
jeremanga

Mpiga Chabo
Nov 23, 2024
1
0
0
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Katika ligi hii ya msimu huu nakereka sana na baadhi ya wachambuzi kuzibeza timu za mikoani na kuanza kutangaza timu fulani ni bingwa angali bado ligi ni mbichi
 
Nassary

Mpiga Chabo
Nov 23, 2024
1
0
0
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Team yangu kutengeneza Jezi zisizo na rangi yetu pendwa,, imenikera sana,lakn Sina pakusemea maana kila mtu atajitetea asionekane mnafiki