Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

matad

Mpiga Chabo
Nov 24, 2024
1
0
0
Kuwazuia wasemaji wa klabu kuchekesha maana kwangu me naona vichekesho vyao sio kama stand up comedy bali wanautumia huu mpira wanaousema Ili kufirahisha mashabiki zao. Me naona wangewaruhusu ila watumie mpira huu huu kichekeshea kwa kutumia virabu vyao
 

baraka Nathan

Mpiga Chabo
Dec 16, 2024
1
0
0
Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) ina changamoto kadhaa zinazokera mashabiki na wapenzi wa soka.

Jambo Gani Huwa Linakukera Ligi Kuu Ya Tanzania?

Unadhani uboreshaji wa maeneo gani unaweza kuimarisha ligi na kuvutia mashabiki zaidi.
Ligi kutokua na ushindani kilasiku kikombe wanachukua wale wale daa!!!