Je, Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?

manaw 3030

Mpiga Chabo
Jul 9, 2024
2
1
0
RAIS wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya mkataba mpya klabuni hapo na kubainisha kuwa mazungumzo bado yanaendelea lakini hakuna kilichokamilika baina ya pande hizo mbili. Swali Ni Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?
Hahiwezekan jamn
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Ben25

Mgeni
Jul 9, 2024
1
1
5
Kwa kweli ni kosa kubwa sana kuachilia Aziz Ki Kwani kazi aliyoifanya kwa msimu uliopita ni kubwa mno, hivyo walipaswa kuendelea kumshikiria ili waende mbele zaidi.
Kitakachoenda kutokea kitakuwa kama Mayele kuondoka kwake, hakika pengo litabaki.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

nyapa jr

Mgeni
Jul 9, 2024
1
1
5
Shida ni mikurupuko ambayo yanga wameifanya instead of preserving first what they have wamedili na kuwakomoa Simba AYA ndo matokeo yake sas
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
Jul 9, 2024
1
1
5
RAIS wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya mkataba mpya klabuni hapo na kubainisha kuwa mazungumzo bado yanaendelea lakini hakuna kilichokamilika baina ya pande hizo mbili. Swali Ni Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?
Ki Azizi kuondoka kwa sasa sio sahihi kwa upande wa yanga sababu Azizi bado mchezaji muhimu saaana pale yanga japo.kaja Chama
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

lix Boe

Mgeni
Jun 30, 2024
3
2
5
RAIS wa klabu ya Yanga Sc Engineer Hersi Said amethibitisha kuwa kiungo mshambuliaji Stephanie Aziz Ki bado hajasaini nyongeza ya mkataba mpya klabuni hapo na kubainisha kuwa mazungumzo bado yanaendelea lakini hakuna kilichokamilika baina ya pande hizo mbili. Swali Ni Kwa Usajili Waliofanya Yanga Ni Sahihi Kumuachia Azizi Ki?
Mbali nausajili uliofanywa bado timu inauhitaji wa ki azizi ili iwe bora zaidi na kufanya vizuri katika mashindano mbali Mbali hasa kimataifa