Je Wajua Kuhusu Kombe La Dunia Wanalosherehekea Argentina Sio Original..?

ChichaMandi

Mgeni
Dec 15, 2022
65
71
5
Nchi Inaposhinda Kombe La Dunia,Fifa Huwapa Kombe La Awali La Dunia(Original) Ili Wainue Na Kufurahia Kwa Muda.Ni Dhahabu Halisi Na Ina Majina Halisi Ya Nchi Zote Zilizowahi Kushinda Kombe Hilo Yamechorwa Juu Yake.

Lakini Baada Ya Sherehe Uwanjani, Wachezaj Lazima Warudishe Kombe Ambalo Hilo (Og) Na Wapewe Jingine.Ni Kombe Ambalo Pia Limetengenezwa Kwa Dhahabu Na Jina La Mshindi Tu Chini.

Kwa Sababu Za Kiusalama Kombe La Awali La Kombe La Dunia Linahifadhiwa Katika Ofisi Ya Fifa,Katika Makao Makuu Ya Zurich Switzerland,Hufanya Ziara Mbili Pekee...
Moja-Katika Nchi Za Kufuzu Kwa Kombe La Dunia.
Mbili-Kutembelea Nchi Zote 32 Zilizofuzu Na Moja Moja Kwa Moja Inapohamishwa Hadi Nchi Mwenyeji.
 
Attachments

  • FB_IMG_1671953398689.jpg
    FB_IMG_1671953398689.jpg
    95.1 KB · Somwa: 0

McRay

Mgeni
Nov 4, 2022
185
131

Kumbe