Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

Mshua

Mgeni
May 27, 2024
34
24
5
Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
 
Allinhoooo

Mgeni
Jun 7, 2024
1
1
5
Kwanza kabla ya yote team kubwa ukikaa misimu miwili hujachukuwa kombe la ligi ni lazma ujiuzulu mwenyewe bila hata kuambiwa… kitendo cha kung’ang’ania madalaka ni kuihujumu team…
 
  • Like
Reactions: Dct kijiweni

Banega

Mgeni
Jun 7, 2024
2
1
5
Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
Fukuza wachezaji wazee wote anza na vijana
 
  • Like
Reactions: Dct kijiweni

fenisto

Mgeni
Jun 7, 2024
1
1
5
Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
Ninge mshauli boss kufanya usajili mkubwa mgunda angekuwa kocha msaidizi au mkuu
 
  • Like
Reactions: Dct kijiweni

SararaOne

Mgeni
Jun 5, 2024
4
3
5
Katika maisha Kuna kufeli/kukwama, na unapokwama unatakiwa utafutie chanzo ni nn hadi ukakwama, kwahiyo pale Simba watafute chanzo Cha wao kulefi ndio mambo mengine yafate, wakianza kulaumiana hakuna kitu kitabadilika, 😁😁😁😁 ila niwe mkweli nafurahi wanavoteseka watani😂😂😂,
 
  • Like
Reactions: Dct kijiweni

Msuha_gl

Mgeni
Jun 7, 2024
2
2
5
Ningetuliza kichwa jenga timu ya umri average 23.5yrs naacha wazoefu wasiozidi 7 baada ya hapo tukutane baada ya msimu kuisha hapo nauhakika misimu 7 mbele ni bandika bandua
 
Dct kijiweni

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
7
1
0
Mimi ningeanza na mfumo wa uendeshaji timu pili ningeshauli hao viongoz kuwafanya wachezaji kua sehemu ya familia ili waweze kufurahia kazi yao
 
Jun 3, 2024
9
5
5
Aah kwa mm naona kwanz ningeenda chimbo kusaka vijan wanaochipua ili nikiwapandisha wawe wa moto sana kam kocha wa real madrid alivyofany kwa kin vinicious wageni hao wengn watakuj baadae