Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025?

May 2, 2024
9
3
5
Shida je awo vijana wataweza kukabiliana na timu kubwa
Maana so tatizo kuwachukuwa shida inahitajika wawe na
Expilance kubwa Sana maana mashidano kama shilikisho
Yanaitaji watu wazoefu kaka so kama awo watoto
 

Hetram_255

Mpiga Chabo
May 22, 2024
2
0
0
Watulie tu dawa iingie, ila kwa maendeleo ya mpira wetu ningeshauri wabadiri uongozi. Kikosi chao kipo vizuri sana. Pia Mgunda awe kocha wa kudum mwenye mkataba