Jemedari Mtetee Mchezaji Wako Manula

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Anaandika JEMEDARI SAID ambaye ni Meneja wa mchezaji Aishi Manula

TUMESIKITIKA NA TUNAJIANDAA KULIPELEKA SUALA HILI MBELE YA MAMLAKA ZA MPIRA NDANI NA NJE YA NCHI.

Tunazungumza na wanasheria wetu kuona namna watakavyoshughulia suala la klabu ya Simba na mchezaji wetu AISHI MANULA kwa kitendo cha Simba KUMZUIA mchezaji kucheza soka ambacho kinapingana na kanuni za FIFA.

Mchezaji haumwi wala hana jeraha lolote, hajawahi kupewa taarifa yoyote na klabu yake ambayo ana mkataba nayo kwa mwaka 1, kuhusiana na chochote cha klabu.

Hajawahi kuambiwa kupima afya kwahiyo hajapima afya kama wengine, hajashirikishwa kwa namna yoyote kwenye mazoezi ya Misri mpaka timu imerudi hajaambiwa lolote na leo Simba imetangaza kikosi chake yeye hajatajwa popote mpaka Meneja wake alipolalamika ndiyo jina lake likatajwa.

Alipata timu ambayo iliandika barua kumuomba mchezaji lakini Simba wamekataa, wao hawamtaki na kumuacha aondoke akacheze hawataki pia, mchezaji maisha yake ni mpira na Simba wanamzuia mchezaji kucheza mpira, wanasheria watatuambia kanuni za FIFA zinasemaje na zile za TFF, zinaruhusu uhuni wa namna hii?

Mwisho Simba kama klabu inatoa meseji gani kwa wachezaji wengine? HAIKUBALIKI..!!
 
  • Like
Reactions: muu
Jun 20, 2024
4
1
5
Manura manura manura tatizo lake anajikuta mkate na hajui kuwa kuna muda unaweza ukaota MUCOR ama Black breed moulds.
Kamemponza kajina ka Tz one.
 
muu

Mpiga Chabo
Aug 2, 2024
4
0
0
Anaandika JEMEDARI SAID ambaye ni Meneja wa mchezaji Aishi Manula

TUMESIKITIKA NA TUNAJIANDAA KULIPELEKA SUALA HILI MBELE YA MAMLAKA ZA MPIRA NDANI NA NJE YA NCHI.

Tunazungumza na wanasheria wetu kuona namna watakavyoshughulia suala la klabu ya Simba na mchezaji wetu AISHI MANULA kwa kitendo cha Simba KUMZUIA mchezaji kucheza soka ambacho kinapingana na kanuni za FIFA.

Mchezaji haumwi wala hana jeraha lolote, hajawahi kupewa taarifa yoyote na klabu yake ambayo ana mkataba nayo kwa mwaka 1, kuhusiana na chochote cha klabu.

Hajawahi kuambiwa kupima afya kwahiyo hajapima afya kama wengine, hajashirikishwa kwa namna yoyote kwenye mazoezi ya Misri mpaka timu imerudi hajaambiwa lolote na leo Simba imetangaza kikosi chake yeye hajatajwa popote mpaka Meneja wake alipolalamika ndiyo jina lake likatajwa.

Alipata timu ambayo iliandika barua kumuomba mchezaji lakini Simba wamekataa, wao hawamtaki na kumuacha aondoke akacheze hawataki pia, mchezaji maisha yake ni mpira na Simba wanamzuia mchezaji kucheza mpira, wanasheria watatuambia kanuni za FIFA zinasemaje na zile za TFF, zinaruhusu uhuni wa namna hii?

Mwisho Simba kama klabu inatoa meseji gani kwa wachezaji wengine? HAIKUBALIKI..!!
Simba acheni wivu usiokuwa na maana mh nyie mnashinda gan 🤫