Jezi Mpya Za Klabu Ya SIMBA 2024/2025 Ipi Imekuvutia?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
466
620
125
Leo ndio siku ambayo bila shaka mashabiki wa soka wa Tanzania walikua wakisubiri kwa hamu kubwa kutazama jezi zao ambazo zitatumika katika msimu wa mwaka 2024/2025 na kama ambavyo umeziona ni jezi ipi imekuvutia? na umeipenda na ipi haijakuvutia na kwanini?
Uzi rasmi wa msimu wa 2024-25Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za ...jpg
 
Attachments

  • Uzi rasmi wa msimu wa 2024-25Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za ...jpg
    Uzi rasmi wa msimu wa 2024-25Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za ...jpg
    159.3 KB · Somwa: 39

    156.1 KB · Somwa: 40
  • Like
Reactions: promise

Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Neno SANDA alitoe,,,hii ni kejeli wa watani wetu, yaan hapa tutatukanwa hadi tukome,,,in short hilo neno litafanya watu wasipende kuvaa hadharani hiyo jezi kwa sabu ni kama linamaanisha kitu kingine kabisa,,,nimekwazika for real.
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Kuanzia hapa tumeshafeli, kama hawatabadilisha,,,,ligi tunamalizia nafasi ya kumi.Mnaleta usanii katika mambo ya serious, ndo maana Kibu kawatoroka ameona mbali.