Jezi ya Yanga ni kali ukweli usemwe

Azizi

Mgeni
Dec 13, 2022
38
26
5
Kwa kifupi Jezi Nyeusi inawavutia washabiki ambao hawana Usiasa katika Mpira,

Yanga wako wakati wa mbele zaidi kwenye jezi uzi mkali

Kwenye suala la jezi Yanga hana mpinzani aseee

Yani kwenye pongezi tutoe na kwenye ukweli tuseme Hii timu kuna watu wanaakili ya ziada

1675161565473.png
 

Attachments

  • 1675161106303.png
    1675161106303.png
    978 KB · Somwa: 0

Mgunda Zone

Mgeni
Nov 4, 2022
83
88
5
Sometimes kwenye pongezi tutoe na kwenye ukweli tuseme Hii timu kuna watu wanaakili ya ziada ..As Simba sports tuna kitu cha kujifunza
 

Clara

Mgeni
Dec 13, 2022
20
6
5
Sheria Ngowi ana tupeleka spidi sana Sasa ya msimu ijayo itakuwaje level ya Ubunifu jezi nyeusi duh