Kauli Ya Mwigulu Wakati wa Uwasilishaji Wa Bajeti Mmeipikeaje Wana KIJIWENI?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
“Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”

“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB”

“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga
kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya”

Unatamani nembo ya timu gani ikae kwenye noti?
 
  • Like
Reactions: Efeso

wakitaa

Mgeni
May 28, 2024
9
1
5
Haki ya mungu Tz ya hovyo hi hiv huyu jamaa n akil zake au alikunywa pombe.. 🥂 haya ndy Yale yle mtu asivae jenz ya mamelod akivaa ndan yaan viongoz wa nchi hii wakijishibia maugal tyu kulopoka lopoka tu
 
Sonco Cheol

Mgeni
May 15, 2024
15
8
5
Hahaha nlivyokua mdogo nlikua naambiwa ukiwa chawa ni lazima ukose akili... Sikuwahi kuamini🥺 ila sasa nmeanza kuamini ... I SWEAR NAAMINI.
Machawa wote ni #ZeroBrains🤕
 
  • Like
Reactions: The_Senior

MzeeWaNondo

Mpiga Chabo
Jun 13, 2024
1
0
0
Shida sio yeye shida ni ugali dagaa ukishiba ndio maana mzungu ana kuambia jitahidi sana ule ata kidogo kabla ya kuingia kwenye mkutano wowote ita kusaidia usije kuongea ujinga. Hapo haujiulizi je timu zingine Zika fanya juu zaidi ya yanga Ina maana nembo ya yanga ita shushwa au ata unda noti ya shillingi 400
 
Msukuma

Mgeni
Jun 13, 2024
2
2
5
“Mafanikio ya Yanga na Klabu nyingine yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamasa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia ambapo amekuwa akitoa shilingi milioni tano kwa kila goli linalofungwa katika hatua ya makundi na shilingi milioni kumi kuanzia hatua ya robo fainali. Hivyo, kwa namna ya pekee naomba nitoe pongezi kwa Mama yetu kwa ubunifu huo ambao umeliletea Taifa letu sifa na heshima 164 kubwa katika nyanja ya michezo”

“Rai yangu kuwa tuendelee kuhamasisha michezo mingine ili Nchi yetu iweze kushiriki katika mashindano mbalimbali ya kimataifa na hatimaye kurudi na tuzo au makombe, aidha napenda kutumia fursa hii kuipongeza Timu ya YANGA kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya kandanda nchini kwa mara ya tatu mfululizo na Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB”

“Yanga ni Wafalme wa soka la Tanzania, natamani kumshauri Gavana wa Benki kuu kuweka nembo ya klabu ya Yanga
kwenye noti ya shilingi 100 kuyaenzi mafanikio haya”

Unatamani nembo ya timu gani ikae kwenye noti?
Ni kweli ila ni sehemu ya utani maana sidhani kama sheria zetu zinaruhusu hilo
 
  • Like
Reactions: shabanadam

Robbrygo JR

Mgeni
May 20, 2024
18
10
5
Africa my Africa 😭😭. Inamaana haya mafanikio nchini kaanza kuyapata Nyuma Mwiko?? 🤔🤔🤔. Mbona aliyeonyesha njia ya haya mafanikio hapewi heshima hiyo?? ✊✊✊. Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo 😏😏
 
  • Like
Reactions: Kijiweni