KIBU DENIS Leo Ni Siku Ya 16 Hayupo Kambini

Bakari

Mgeni
May 27, 2024
27
31
5
Mpaka leo Kibu Dennis amekosekana katika kambi ya Simba kwa siku 16. Ikumbukwe kwamba Simba ilifika Misri Julai 8 na inatarajiwa kurejea Dar mwishoni mwa mwezi huu kabla ya Agosti 3 kuwa na tamasha la Simba Day ambalo huambatana na utambulisho wa wachezaji watakaoitumikia msimu ujao.Kuchelewa kwa mchezaji huyo kuingia kambini kunamfanya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kuendelea kuwanoa wengine wanaocheza eneo la ushambuliaji ambalo pia Kibu anacheza.Washambuliaji wa Simba kuelekea msimu ujao ni Jean Ahoua, Steve Mukwala, Valentine Mashaka, Freddy Michael na Kibu ambaye atakuwa na kazi ya ziada ya kufanya ili kuhakikisha anapenya kikosi cha kwanza baada ya kutokuwa kambini huku wenzake wakiendelea kujinoa.
 
NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
23
7
5
Yeye. Kilicho muhimu ndicho atakacho kishika akilazimishwa iyo Nikes nyingine anawezà kua sahem anayo weza fanya kitu akaacha kwasababu hajapenda ila kalazimishwa kwaiyo aache tu akirudi kwa sababu kasha Saini atakaa bench papo pajapotea
 
Rhino

Mpiga Chabo
May 8, 2024
8
0
0
Mpaka leo Kibu Dennis amekosekana katika kambi ya Simba kwa siku 16. Ikumbukwe kwamba Simba ilifika Misri Julai 8 na inatarajiwa kurejea Dar mwishoni mwa mwezi huu kabla ya Agosti 3 kuwa na tamasha la Simba Day ambalo huambatana na utambulisho wa wachezaji watakaoitumikia msimu ujao.Kuchelewa kwa mchezaji huyo kuingia kambini kunamfanya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kuendelea kuwanoa wengine wanaocheza eneo la ushambuliaji ambalo pia Kibu anacheza.Washambuliaji wa Simba kuelekea msimu ujao ni Jean Ahoua, Steve Mukwala, Valentine Mashaka, Freddy Michael na Kibu ambaye atakuwa na kazi ya ziada ya kufanya ili kuhakikisha anapenya kikosi cha kwanza baada ya kutokuwa kambini huku wenzake wakiendelea kujinoa.
Ni sahihi ila kama ni mchezaji professional itakuwa ni changamoto ya muda mfupi na utaonyesha uwezo wako, Pennine na hivyo utaonekana uwezo wa kubahatisha. Kikubwa atatokea sub kama hakuwepo kwenye mipango ya mwalimu mpaka atakapoelewana na mwalimu.... 🖊@king
 
Pendaneni

Mpiga Chabo
Jul 26, 2024
2
0
0
Kibu ni mchezaji mzuri, pengine wangetuweka wazi sababu ya yeye kutowepo misri but nadhani ni masuala ya maslai tuu