Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga SC.
Kibu Denis hana thamani ya milioni 300 wala mshahara wa laki 9 kwa mwezi achilia mbali mil 15 anayotaka, huyu ni mchezaji wa kawaida sana tena zaidi ya sana, ebu fikiria huyu ni mchezaji anayecheza nafasi ya ushambuliaji ila cha ajabu msimu mzima 2023/2024 amecheza mechi 20 za ligi na kufunga goli moja na assist mbili.
Unasumbuliwaje kichwa na mchezaji wa namna hii? Huyu Kibu Denis ni zaidi ya bumunda, limejaa lakini ndani upepo. Aina yake ya mpira ni sawa na safari za chizi kwenda umbali mrefu kisha kurudi na makopo.
Ila ukiuliza pale umbumbumbuni kwa nini wanaliongezea mkataba hilo chakubanga, utasikia jamaa anajituma sanaa!!, hivi ni nani aliwaroga hawa kolozidad? Wapi katika hii dunia kuna tuzo ya mchezaji anejituma, yaan mtu anacheza nafasi ya ushambuliaji, ila mechi 18 mfululizo hana assist wala goli la kusingiziwa anawaendesha kiasi hicho?
Vipi mngekuwa na mtu kama pacome au maxi au aziz ki, si mngekuwa mnatembea mnajamba jamba hovyo kwa shibe ya furaha.. Hovyo kabisa.