Kijiwe cha Mashabiki wa Manchester United (Red Devils)

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
485
641
125
Mashabiki wa klabu ya Man Utd yaani wale Mashetani wekundu wote wanapatikana hapa

Manchester United Trophies:
League Tittles: 20

First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)

European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)

FA Cup Trophies: 13 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16), 2023/24

League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)

Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)
 
  • Like
Reactions: Ammar Hassanain
Jun 3, 2024
4
2
5
Dortmund wameghairi kumsajili Greenwood licha ya kuwa na msimu mzuri kule Getafe. Mashabiki na club ya man utd haiwezi kusamehe Greenwood abaki kuichezea man utd?
Shida haiko kwa mashabiki, kwani sisi katukosea nn? Shida ipo kwa uongozi ndio nadhani kuna shinikizo kutoka juu linalomkataa huyo kucheza Uingereza, ndio maana huoni timu za Uingereza zikimtaka.
 
  • Like
Reactions: Mgunda and Bakari

mrumi

Mpiga Chabo
Jul 4, 2024
5
1
0
Dortmund wameghairi kumsajili Greenwood licha ya kuwa na msimu mzuri kule Getafe. Mashabiki na club ya man utd haiwezi kusamehe Greenwood abaki kuichezea man utd?
Kama vipi arudi kundini, Greenwood anastasia kuichezea Manchester United kwa mara nyingne.
 
  • Like
Reactions: kiwelu

Baba Wawili

Mpiga Chabo
Dec 14, 2024
3
0
0
Timu ina wachezaji wanacheza kama mazombi,wao wanajiendea tu,hii timu watu Lisandro Martinez,Amad Diallo na Casemiro wanaonekana kujituma ila wengine kama mazombi tu