Kijiwe cha watoto wa Jangwani

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
Mchezo wa sitaki nataka vipindi vyote yaani kushambulia na kujilinda by the way CLASS OF CONFIDENCE IMEAMUA YANGA KUWA BINGWA🙌🙌🙌
 
Mamasakho

Mgeni
May 20, 2024
2
1
5
Ukweli azam wamemumiza mwenzao goli kipa kafanya kazi kubwa kuokoa wachezaji na kukosa umakini wa hali ya juu wakamuharibia cv zake zote maua mengi kwa kipa wazam ameifanya kazi nzur sana
 
  • Like
Reactions: Skonga mjani korofi

Gamondi

Mgeni
May 27, 2024
18
14
5
Wachezaji wengi walipaswa kumchukua MKUDE kisha kulifanya darasa huru huyu kwani ni mchezaji wa pekee sana na sijawahi kuwaona wachezaji wa namna hii kwa kipindi kidogo, mwamba alisaini mwaka mmoja Yanga SC kutokea Simba SC.

Nungunungu kama wanavyomuita alikubali mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Yanga SC wala kwake halikuwa jambo gumu hata kidogo, Jonas Mkude anasaini vipi mkataba wa mwaka mmoja huku akiwa ametokea kwenye timu ambayo status yake kubwa kama hii ya Yanga?
 
DadaJoy

Mgeni
May 27, 2024
5
3

Yanga wampe mkataba mpya, ameonisha nidhamu kubwa sana.