Kijiwe cha watoto wa Jangwani

taliq

Mpiga Chabo
Jun 3, 2024
5
0
0
Nani Kati ya hawa anayestahili kuvaa kitambaa cha unahodha katika YANGA ijayo;

🔹 Djigui Diarra
🔹 Dickson Job
🔹 Khalid Aucho
🔹 Pacome Zouzoua
🔹 Ibrahim Bacca

Vigezo vya kuzingatiwa;

- Uwezo wake uwanjani.
- Ushawishi na motisha uwanjani na hata kwa mashabiki.
- Kujiamini uwanjani.
- Morali ya Upambanaji.
- Mwalimu wa wengine uwanjani kwa vitendo na maneno.
- Nidhamu.
- Mtetezi wa Team pale inapotokea imeonewa.
- Kujitoa kwa ajili ya Timu.

Je,KURA yako utaitupa kwa yupi Kati ya hao watano(5)?
Khalid Aucho #The Tank
 
kgdesolver

Mpiga Chabo
Jun 4, 2024
1

Job
 
Gamondi

Mgeni
May 27, 2024
18
14
5
Gamondi anaondoka Yanga?

Miguel Gamondi amesema kwamba baada ya msimu kumalizika akiwa na mafanikio makubwa na klabu hiyo, anahitaji kuondoka Yanga. Gamondi alifunguka kila kitu, baada ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho ambapo Yanga walitwaa taji lao la tatu mfululizo.

“Msimu ulikuwa ni mrefu na mgumu. Nahitaji kwenda kupumzika sasa. Nina furaha tumeshinda mataji makubwa, la Ligi Kuu na Kombe la Shirikisho”

“Naamini hata wazazi wangu mawinguni watakuwa wamefurahi kwa nilichofanya. Nataka kwenda kupumzika sasa nimeimisi familia yangu,”

Msimu uliomalizika kwa Gamondi na Yanga walikuwa na mafanikio makubwa, ubingwa wa Ligi Kuu mara 3 mfululizo na taji hilo kuwa la 30 kwenye historia ya Yanga.

Ubingwa wa 8 wa Kombe la Shirikisho la CRDB, ukiwa ni ubingwa wa 3 mfululizo na wa 4 tangu mashindano hayo yarejee tena mwaka 2015.

Pia kipigo kizito kwa vilabu vyaa Ligi kuu na nje ya Ligi Kuu, Simba ilifungwa goli 7, mzunguko wa kwanza bao 1-5, mzunguko wa pili 2-1.

5G zilikuwa za kutosha na timu zilizoingia kizembe walikutana na msumari wa moto kutoka kwa wananchi, na habari za Yanga leo kutwaa ubingwa wa FA zinazidi kufanya vizuri mitandaoni na duniani kote.

Kufika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza baada ya kukaa miaka 25, bila kunusa hatua hiyo Ligi ya Mabingwa Afrika, na walifika hadi hatua ya robo fainali.
 
Gamondi

Mgeni
May 27, 2024
18
14
5
Viongozi wa Yanga kuweni makini, msije kukurupuka mkamsajili Chama

Eng. Hersi na timu yako nzima ya usajili, mjiadhari na kumsajili Chama kwasasa itakuwa ni kujirudisha nyuma badala ya kusonga mbele. Chama kwenye ubora wake ni mchezaji aliyekuwa anakupa vitu vingi uwanjani ila kwasasa kawa ni mchezaji anayepunguza vitu uwanjani.

Haya ni mapungufu ya Chama

1) mipira ya kugombaniana ya 50/50 Chama hawezi kuingiza mguu wake kugombania, ni mchezaji aliyejiona star na anacheza kwa uoga uwanjani.

2) spidi kwasasa Chama hana na mchezaji anayepoozesha move za kushambulia labda itokee move amekutana nayo huko huko juu ila sio kuanzisha move tokea golini kwenu mtegemee chama nae atengeneze hiyo move. Mechi ya Wydad vs Simba, Simba walipata counter attack ikapigwa pasi mbili tu mpira ukamkuta Chama golini kwa Wydad ila cha ajabu mchezaji wa Wydad katoka nyuma hadi kamkuta Chama na kufanya clearance ule mpira.

3) Chama anashindwa kuwa bora kwasasa sababu ya umri wake na kutumika sana kwenye kikosi cha Simba hivyo hawezi kutoa kilicho bora kwavile kaishamaliza peak yake.

4) Aina ya mpira wa Gamondi haumfai Chama wa sasa, Gamondi anapenda mpira wa kasi sana na kukaba sana ili retain possession ya mpira. Hivyo mfumo huu unawafanya kila mchezaji ajitume kwa kukaba na kuwa sharp kufanya making. Embu angalia kikosi cha Yanga ni nani akipoteza mpira anaganda tu kama sanamu? Aziz Ki, Pacome, Max, Guede, Musonda, Mzize, hao ni wachezaji wa safu ya ushambuliaji lakini wanakaba ile mbaya. Chama mpira wa Gamondi hatoweza kwa uvivu, ustaa, na umri wake anahitaji kucheza timu za mchezo wa taratibu.

Kama viongozi mnalengo la kumsajili Chama kwa lengo la kuwakomoa tu Simba basi wamsajili, ila kama lengo ni kuboresha kikosi basi wajue Chama hatokuwa na tofauti na Okrah kwa kuishia kukaa benchi na mbaya zaidi ni wachezaji wa kigeni. Yanga inabidi ivuke mafanikio ya msimu huu klabu bingwa kwa kucheza fainali au nusu fainali japo msimu huu tulitaka kuiweka bila kudhurumiwa haki dhidi ya Mamelodi hivyo msimu ujao inabidi kudhihirisha kwa Africa kuwa kweli tulistahili na hatukubahatisha.

Chama sio wa kutusaidia kwa jinsi alivyo kwa sasa.
 
iameliassamweli

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
3
0
0
Nani Kati ya hawa anayestahili kuvaa kitambaa cha unahodha katika YANGA ijayo;

🔹 Djigui Diarra
🔹 Dickson Job
🔹 Khalid Aucho
🔹 Pacome Zouzoua
🔹 Ibrahim Bacca

Vigezo vya kuzingatiwa;

- Uwezo wake uwanjani.
- Ushawishi na motisha uwanjani na hata kwa mashabiki.
- Kujiamini uwanjani.
- Morali ya Upambanaji.
- Mwalimu wa wengine uwanjani kwa vitendo na maneno.
- Nidhamu.
- Mtetezi wa Team pale inapotokea imeonewa.
- Kujitoa kwa ajili ya Timu.

Je,KURA yako utaitupa kwa yupi Kati ya hao watano(5)?
Diarra au Job
 
Ahsahil

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
2

Diarra