Kijiwe cha Wekundu Wa Msimbazi

rajab

Mpiga Chabo
Jun 4, 2024
1
0
0
Huenda msimu ujao vilio na majonzi vikaanza na kutawala mapema sana Simba SC.

1. Wanatafuta beki wa kimataifa wa kushoto wa kumchalenji Tshabalala.
2. Wamekubaliana Mgunda kuwa kocha mkuu wa kudumu na sasa hawako kwenye mazungumzo na kocha mwingine yeyote.
3. Ayoub Lakred yupo kwao likizoni, bado hajaamua hatima yake kama anaondoka au atasaini mkataba mpya ingawa tayari ofa ya mkataba mpya ashatumiwa.
4. Pa Omar Jobe anajadiliwa aondoke kwa mkopo au dili la kudumu.
5. Mo Dewji akikutana nao atafanya maamuzi ya mwisho ili kuona kama ataendelea kuwekeza pale au ameondoka jumla.
6. Chama anaweza kubaki Simba SC.
Jamani u
bora jobe wamwache tu
 
njopa69

Mgeni
Jun 4, 2024
4
1
5
Kama hawaweki umakini kwenye usajili itakua kila siku tunasema tuwape mda wachezaji wakati unaenda na hatuoni mabadiliko yeyote
 
chuxboy bad👎

Mpiga Chabo
Jun 5, 2024
1
0
0
Tutulio sio kwamba haya tuyao yaongea viongezi hawajuii laa hasha kila kitu kinafatiliwa na pia wanaelewa na kujua pia koo kueni Wapole wanasimba mambo mazur hayaitaji haraaka tuwaachie viongozi wafanye yao kama kushindwa tushashindwa na tushaferi misimu miwili consecutive koo makosa kila mtu kayaona na yapo kwa utatuzi relax good👍 things are coming simba one love ❤️ usisahau kila kitu kinafanyiwa kazi
 
0760677431

Mpiga Chabo
Jun 6, 2024
2
0
0
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?

Tunamkaribisha anatufaa kwa msimu ujao kwasababu kiwango chake kinafaa
 
six simba

Mpiga Chabo
Jun 13, 2024
1
0
0
FEITOTO Njoo Simba huko Azam utachelewa sana

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum Feitoto amesema haoni shida yoyote kujiunga na klabu ya Simba SC kama itamhitaji, ila inachotakiwa ni kufuata taratibu zote za uhamisho, kwani bado ana mkataba.

Feitoto ambaye kipindi hiki cha usajili anahusishwa na Simba SC, amesema hana tabu na yupo tayari kujiunga na timu hiyo kwa msimu ujao wa Mashindano.

Vipi wana SIMBA anatufaa?

Hatumtaki sisi
 
Eddy de Jr

Mgeni
May 9, 2024
91
16
5
Maisha ni ups and downs wajameni,,,hata Barca,Man U, nk zimeflop,,,kikubwa tutumie changamoto vizuri ili tuje kivingine.BAADA YA DHIKI FARAJA.