KIJIWENI Kwenu Timu Yenu Ya NDONDO Inaitwaje?

Kijiweni

Administrator
Staff member
Nov 7, 2022
489
643
125
Ukiachilia mbali kuwa kila mwana Kijiweni ana timu yake anayoshabikia iliyopo Ligi Kuu ya Tanzania lakini pia na zile ambazo zinacheza ligi kubwa barani Ulaya. Ipe mashavu timu yako hapa kutoka KIJIWENI kwenu na inapatikana maeneo gani?
 

Mihayo

Mgeni
May 9, 2024
3
3
5
Timu yangu inaitwa Sungusungu FC,ipo Kituli-Tinde,Shinyanga..hii hata hao Simba au Yanga wanakaa,kwanza tuna kamati kali sana ya ufundi.
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Smago

Mgeni
May 27, 2024
2
3
5
Chama langu mm ni Masuguru Fc kutoka korogwe Tanga wazee Wa Ball itembee kama Juma Mgunda wana balaa hatari kila ligi wakishiriki kuna vitimu vikipangiwa na hili chama langu vinajitoa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

Emma Mzirai

Mgeni
May 20, 2024
4
2
5
Apart from the fact that every Kijiweni has his own team that he is a fan of in the Tanzania Premier League but also those that play in the big leagues in Europe. Give a shout out to your team here from KIJIWENI and where are they available?
My team is called Toroka Uje Fc, they are hitting the wrong ball...it is located in Kiomboi-Singida
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

calvin paul

Mpiga Chabo
May 27, 2024
1
1
0
yetu inaitwa washuka fc hiyo mpaka ma spy wa ligi kuu ya uingereza huwa nakujaga kucheki wachezaji wakuwasajili huko tumetoa wachezaji wengi sana kama kina doco wa city Rodrigo wa madrid
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

NGUVUMALI

Mgeni
May 20, 2024
29
9
5
Slavius nguvumali

Team ya mtaani kwetu chakurukuti fc
Wanapiga adi wachawi hawana kucheka na kizwite fc pia watumishi fc

Zote hizo zinapatikana sumbawanga kizwite RUkwa tz
 
  • Like
Reactions: Kijiweni
May 27, 2024
1
1
5
Ukiachilia mbali kuwa kila mwana Kijiweni ana timu yake anayoshabikia iliyopo Ligi Kuu ya Tanzania lakini pia na zile ambazo zinacheza ligi kubwa barani Ulaya. Ipe mashavu timu yako hapa kutoka KIJIWENI kwenu na inapatikana maeneo gani?
Kimara kuna chama langu ilo star ranger ilo mzee kama mkeka ni sure tyu
 
  • Like
Reactions: Kijiweni

lidu dalal ofisho

Mpiga Chabo
May 27, 2024
1
0
0
Mambo vp wadau npo kijiwen kwetu maeneo ya bunju opposition na sheli olpic chama langu ni yanga dam timu ya kitaa bunju united hoya lete mkeka